Naona kama goli nyingine za Mchongo tu 🤣🤣🤣Azam imejipata
Mvuaa, umecheki game?Daah
On the same Pitch.KMC ililewa sifa. Mechi ya pili hii inapigwa tano
Kama lipi?Naona kama goli nyingine za Mchongo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taja orodha ya wafungaji wa magoli ya azamFeisali anaongoza sasa.
Kuwa na Magoli mengi.
Amefikisha goli 8.
Dube 2Taja orodha ya wafungaji wa magoli ya azam