FT || Azam Fed Cup: Yanga S.C 7-0 Rhino Rangers: Uwanja Benjamin Mkapa

Mpaka mcheze na vitimu vya daraja la 4 ndio mfunge zaidi ya goli moja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Goli la saba huko Kwa [emoji617][emoji617]
Watakuja kulipiwa na wageni kwenye kombe la shirikisho la wakubwa Afrika. Kombe la luza aka walioshindwa CAFCL kwa mujibu wa mkosa rangi na akili.

Kule Yanga wenye akili ni wawili tu. Ina maana hata yeye na yule boss wa SBS wote hawana. Fei kaondoka alishtuka anafanya kaz na watu wasio na akili ndio maana wakaandika mikataba isiyo na akili.
 
Vijana wa Mangungu mnapambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…