Naaam bado viwili refa amalize mpira tuwahi nyumbani, nmeacha wali jikoni😁😁😂😂😂 bado?
Mtasema yoteHaina maaajabu....
Hata mimi nawasha TV nakuta dk ya 29Mechi nilijua ni saa 9:30
😂😂😂Naaam bado viwili refa amalize mpira tuwahi nyumbani, nmeacha wali jikoni😁😁
kwa nini isingechezewa kw mkapa?Duuh mechi na jua lote hili ..tubinafsishe tu na viwanja vyetu sio bandari tu.
Ni uchungu sana kutowepo leo.😭😭😭ni huzuni kuu mkuu
Yaani inaniuma sana
Takwimu ni njema sana😂😂😉
Subiri Makolo yavamie humu.Leo uzi hautembei
Leo fainali mpira unaanza mapemaMpira si saa 10 jioni.. Kaahh