Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Huku kwetu ndo wnaurudisha sasa hiviTanesco ni mijitu ya ajabu sana,mechi kubwa hii unakataje umeme?hako kauwanja na jua lote hili mlitaka tuje fia humo ndan?
Hii nchi kila kitu ni magumashi tuHata mimi nawasha TV nakuta dk ya 29
Angalia boliLeo uzi hautembei
Hawa ndio wanafanyaga wananchi wawachukie viongoz wao kwa upumbav wa majitu machache pale tanesco,Yan apa Tanga tunauzalisha umeme lakini hatuna raha naoHuku kwetu ndo wnaurudisha sasa hivi
Uko wap mana hapa shy town pia wamekataTanesco ni mijitu ya ajabu sana,mechi kubwa hii unakataje umeme?hako kauwanja na jua lote hili mlitaka tuje fia humo ndan?
Kiswahili hakina neno GUVU labda Kama unamaanisha GOVI.Guvu kama guvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzize bado hajakomaa kiakili pia kisaikolojia.
Sio mchezaji wakutegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wanacheza na mianvuli?Jua kali linawaka uwanjani leo, azam ngumu sana kutoka
umeme wamekata ila uzi hautembei kbsAngalia boli
3Yanga watashinda
Angefungwa Yanga ungeona speed ya uziumeme wamekata ila uzi hautembei kbs
Guvu moya.Kiswahili hakina neno GUVU labda Kama unamaanisha GOVI.
[emoji3][emoji3][emoji3]utakuta umeunguaNaaam bado viwili refa amalize mpira tuwahi nyumbani, nmeacha wali jikoni[emoji16][emoji16]
Hahahaaa! Kabisa Mkuu.Leo hakutokuwa na updates kwenye uzi wa Takwimu ..
Na sisi wengine tukanyonyeshe. 🤣🤣Naaam bado viwili refa amalize mpira tuwahi nyumbani, nmeacha wali jikoni😁😁