Watu wamegoma kumfungulia uzi wanampuuza kimya kimya .Munch wa annabelletz47 mkuu wewe siyo yen3be kama sijakosea kwani matokeo ya kujiunga form one BADO🤣🤣🤣🤣naona umerudi kwa kasi ya ajabu
😂😂😂 saa hii hawana hata nguvu ya kuandika.Makolo wanavizia goli lichomolewe wajaze udenda humu
Hahahaa! Kwa kweeli.Ndio huyo huyo naona kuna muda dish linayumba
Munch wa annabelletz47 mkuu wewe siyo yen3be kama sijakosea kwani matokeo ya kujiunga form one BADO🤣🤣🤣🤣naona umerudi kwa kasi ya ajabu
Naona anatafuta umaarufu! Mwisho wa siku anaishia tu kujichosha na utoto wake.Watu wamegoma kumfungulia uzi wanampuuza kimya kimya .
Kafanyaj tena na leo?Hivi kwanini Yanga wasiwauzie Simba huyu Clement Mzinze?
Dah! Pole sana. Maana mpaka sasa mambo yamekuwa ni tofauti kabisa na matarajio yako.Azam anashinda hii game
Dk ya 81! Bado matokeo ni 0-1. Wananchi tungeongeza goli 1 lingine, tungemaliza kabisa mchezo.Tupo dakika ya ngapi wananchi wenzangu???
Ya 85 sasa.Dk ya ngapi