secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Haha, ila Mbape namuonea huruma katika yaani Paris wamekuwa wa moto kwenye UEFA na wameshatwaa ubingwa wa League one baada ya yeye kuondoka, halafu yeye ana uhakika wa kupata kikombe Cha chai tu.
View: https://x.com/HasKM7scoredaFK/status/1916261418581533020
Jamaa huyu atakua kasikitika sana yeye kazi ilikua kumcheka mbappe tu hana freekick goal🤣🤣
Jude ipo siku atampiga kocha ama mchezaji mwenzake.Kuna jicho moja Jude amempa Modric aisee 😃 Nimecheka hatari
WashafungwaMadrid wasiposhinda leo hawaji kushinda tena dhidi ya Barcelona
Kuja moja Ferrani kateguliwa mguu pia nadhani ilikuwa penaltyPamoja na kufungwa ila real madrid wamejitahidi sana, wameonesha ushindani mkubwa sana kwenye el classico ya leo kinyume na matarijio ya wengi, hasa walivyorudi second half.
Binafsi nilitegemea hii mechi barca angeimaliza mapema sana kama alivyofanya kwenye elclassicos mbili zilizopita.
Angalau kidogo leo tumeona hadhi ya el classico ambapo mzani ulibalance mpaka filimbi ya mwisho
Ila naona leo zile kelele za real madrid kuhusu marefa zimewasaidia kiasi fulani, refa kachezesha mechi kwa kuwaogopa real madrid kuna fouls nyingi sana kazipotezea upande wa real madrid hata ile handball ya Valverde ilistahili kuwa penalty maana ule mpira ulikuwa unafikia miguuni kwa Ferran, kiufupi pale Valverde alizuia move ya goli bila kukusudia.
Wachezaji wa real madrid hasa Rudger hawana class kabisa... siwatofautishi na wachezaji wa kwenye michuano ya ndondo cup.
Tatizo huyo bwana mdogo huwa anajikuta bonge la superstar, halafu anajiona ni bonge la mchezaji anayejituma sana kuliko wenzie, yaan anawaona wenzake ni kama wana masihara hivi.Jude ipo siku atampiga kocha ama mchezaji mwenzake.
Yaani ana Ile tabia ya akina Orji Obina na Ezeh Eme Chukwu.
Ana hasira sana.
Refa kachezesha mechi kwa uoga sana anahofia kuwa bullied na real madrid media houses, hizo fouls zote wangekuwa ndio wamechezewa akina Vini refa angefunika tuta kila mojaKuja moja Ferrani kateguliwa mguu pia nadhani ilikuwa penalty
Yeah 🤣, ana mentality ya wachezaji wanaocheza ligi ya NBC au hata ndondo cup. Tabia anazoonesha ni za mchezaji ambaye hajakulia kwenye academy.Tatizo huyo bwana mdogo huwa anajikuta bonge la superstar, halafu anajiona ni bonge la mchezaji anayejituma sana kuliko wenzie, yaan anawaona wenzake ni kama wana masihara hivi.
Sasa hiyo itamgharimu siku moja.
Siyo kwamba hawana uwezo, shida ni kwamba babu Carlo amewadekeza sana.Eti Fran Garcia na Endrick wanaichezea Real Madrid
duh!, kama ndivyo, basi 11 may kichapo kipo palepaleSiyo kwamba hawana uwezo, shida ni kwamba babu Carlo amewadekeza sana.
Eti wanamwita grandpa.
Cc: Al-mukheef
Duh, mkuu hiyo imeshaandikwa tayari.duh!, kama ndivyo, basi 11 may kichapo kipo palepale
Atajikuta anashindwa kuelewana na wenzie, mwisho wa siku ataomba kuondoka tuYeah 🤣, ana mentality ya wachezaji wanaocheza ligi ya NBC au hata ndondo cup. Tabia anazoonesha ni za mchezaji ambaye hajakulia kwenye academy.
Sahihi kabisa. Kumlaumu mchezaji mwenzako wazi wazi ni kitu ambacho kikitakiwi kwenye soka, nashangaa mtu katika academy lakini bado ana tabia kama zile.Atajikuta anashindwa kuelewana na wenzie, mwisho wa siku ataomba kuondoka tu
Kiwango cha Endrick hata Real Betis hapati nambaEti Fran Garcia na Endrick wanaichezea Real Madrid
Jude walivyokuwa wanakwenda kuchukua medali uso wake umejaa hasira hatari halafu kina Vin wao wanacheka tuSahihi kabisa. Kumlaumu mchezaji mwenzako wazi wazi ni kitu ambacho kikitakiwi kwenye soka, nashangaa mtu katika academy lakini bado ana tabia kama zile.
Arsenal mtoe kwenye hilo kundi la tia majiHaya matimu saivi sijui yamepatwa na nini 🤣 madrid tia maji, arsenal tia maji, bayern tia maji, inter tia maji
yes, wale Ferland mendy na Ceballos hata chelsea hawapati namba kabisaKiwango cha Endrick hata Real Betis hapati namba