FT: Bayelsa Queens 1-0 Simba Queens | 3rd Place Match | CAF Women's Champions League | Stade Moulay Hassan, Morocco

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Bayelsa Queens Vs Simba Queens

Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake.

Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Live updates zitakujia hapa...ungana nasi
 
Hii mechi ngumu sana kwa simba queens....hawa warembo ni wa moto.
Mzeya una contact na kale kawing kenye rasta ka ile timu ya morocco? Ni karembo
 
Nilimuona kwenye afcon ya wanawake.
Ila ebu niambie mkuu i akuwaje wanasoka wadada wa wenzetu features za kike bado wanakuwa nazo ila wetu wengi hamna yaani huwatamani kuwagegeda?
Wakwetu wanapenda kujiweka kiume ume sana
 
Bayelsa Queens Vs Simba Queens

Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake.

Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Live updates zitakujia hapa...ungana nasi
Matokeo ya Bayelsa vs Rabat yalikuwaje?
 
Back
Top Bottom