Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hii mechi ngumu sana kwa simba queens....hawa warembo ni wa moto.Bayelsa Queens Vs Simba Queens
Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake.
Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Live updates zitakujia hapa...ungana nasi
Hahahah una jicho la mweweHii mechi ngumu sana kwa simba queens....hawa warembo ni wa moto.
Mzeya una contact na kale kawing kenye rasta ka ile timu ya morocco? Ni karembo
Nilimuona kwenye afcon ya wanawake.Hahahah una jicho la mwewe
Wakwetu wanapenda kujiweka kiume ume sanaNilimuona kwenye afcon ya wanawake.
Ila ebu niambie mkuu i akuwaje wanasoka wadada wa wenzetu features za kike bado wanakuwa nazo ila wetu wengi hamna yaani huwatamani kuwagegeda?
Matokeo ya Bayelsa vs Rabat yalikuwaje?Bayelsa Queens Vs Simba Queens
Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake.
Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Live updates zitakujia hapa...ungana nasi
Bayelsa Queens Vs Simba Queens
Mechi ya kutafuta mshindi wa tatu kwa michuano hii ya wanawake.
Simba Queens watajaribu bahati yao kuanzia saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Live updates zitakujia hapa...ungana nasi
Acha roho mbaya mtani, kuwa mzalendo iunge mkono timu ya nyumbani. Mimi niliwaunga mkono mlipocheza na Club AfricainAll the best bayelsa
Acha roho mbaya mtani, kuwa mzalendo iunge mkono timu ya nyumbani. Mimi niliwaunga mkono mlipocheza na Club Africain
I'm sorry!Mkuu tusipangiane comments