FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Hii mechi niliweza kuitabiri matokeo kama haya.

Ni kama friend match tu ambayo hupati chochote na wala hupotezi chochote zaidi ya sifa tu

Na Simba haipendi sifa
Tujipange vizuri tu kwa robo fainali...haya yameshapita
 
Kenneth Mkapa kwangu ni beki tatu bora kabisa kwa Tanzania kwangu niliyemshuhudia.
Uliposema kumshuhudia umemaliza kila kitu

Ila walikuwepo akina LB Twaha Hamidu ni zaid ya Mkapa na RB Kasongo Athuman, Raphael Paul
 
Onyango huyu huyu ndiye aliyecheza tuliposhinda 7-0 dhidi ya Horoya. Tusiwe wasahaulifu, tuangalie na mechi yenyewe
Bora umewakumbusha mkuu.....waache kujizima data kwa mechi moja ya kukamilisha tu ratiba.
 
Kwamba
Simba 1 Raja 1
Onyango 0 Raja 2
Aggregate: Simba 1 Raja 3

Msimu ujao Simba wanatakiwa kumshukuru Onyango na kumtakia maisha mazuri huko anakoelekea


Ahahahahh
 
Mmeamua kumuangushia Onyango jumba bovu.
Onyango halaumiki hana uwezo wa kuugeuza geuza mwili wake kwa haraka kwanza kuna umri kisha uzito,haya ni matokeo ya kufeli kwenye usajili sina deni na Onyango kabisa,yeye kubaki Simba mpaka sasa ni matokeo ya kufeli kwenye usajili tena kajitahidi sana mpaka kuifikisha timu kwenye robo.hao wanaomlaumu wanakosea.

Onyango bado anao uwezo wa kuwakaba hawa ma strikers wetu weusi kwakua hawatumii akili nyingi lakini sio watu tricky kama waarabu wenye pace na akili nyingi ni ngumu sana hivyo kibongo bongo huku na hii east Africa bado anaweza wa kucheza ila sio kwenye level za kuwakabili ma strikers wakiarabu ambao ni very tricky na wepesi sana.
 
Nadhani watu wote wameona sasa.

Manura ana makosa mengi sana
 
Nyie na mautabiri yenu nyooooo.....vyura nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…