Huyu ndiye TUNDU LISSU au?
NdiyoHuyu ndiye TUNDU LISSU au?
Kasharidhika na mafanikio huyo wammwage msimu ujaoNadhani watu wote wameona sasa.
Manura ana makosa mengi sana
Twaha Hamidu "Noriega" walicheza enzi moja na Ken Mkapa na wote nimewashuhudia live kabisa. Pamoja na kumkubali sana Noriega hasa style yake ya kucheza ubabe mwingi nadhani Mkapa alikuwa juu kwa kiwango. Battle ya And Tom na Noriega haikuwa ya kawaida🤣. Upande wa RB, David Mwakalebela was best. RP alikuwa wa kawaida tu.Uliposema kumshuhudia umemaliza kila kitu
Ila walikuwepo akina LB Twaha Hamidu ni zaid ya Mkapa na RB Kasongo Athuman, Raphael Paul
Ataanza kununa huyo balaa😆Kuchukua Bahasha ya kustafia
Kwahiyo kwa vile ni kukamilisha ratiba ndio ajizime data na kucheza utopoloBora umewakumbusha mkuu.....waache kujizima data kwa mechi moja ya kukamilisha tu ratiba.
Mbona hata ile Raja aliyokuja kwa Mkapa wala hakuweka full mkoko ila kilichotokea tunakijk ykkkk
hahaha na Jana hakuweka full Au sijaangalia hiyo game Ila nimesikia mtu kafa tatuMbona hata ile Raja aliyokuja kwa Mkapa wala hakuweka full mkoko ila kilichotokea tunakijua
angeweka full mkoko na figisu za kiarabu simba angekalia khamsaUsiwapangie watu matumizi ya Hela zao
Aaahahhahaangeweka full mkoko na figisu za kiarabu simba angekalia khamsa
Huyu jamaa boli alikuwa anajua asee, kwanza hakuwa na papara.
yaani robo fainali yanga na simba waombe wasipangiwe waarabu Ni bora ukutane na mamelody au malumo galants waarabu figisu nyingi ukitaka gone cheki game ya Leo Al hilal na Al ahlyAaahahhaha
Acha twone leoyaani robo fainali yanga na simba waombe wasipangiwe waarabu Ni bora ukutane na mamelody au malumo galants waarabu figisu nyingi ukitaka gone cheki game ya Leo Al hilal na Al ahly
Anhaaa sawaKwa bongo ndo saa saba,kwao ni saa nne
Kuna ule wimbo unaitwa Dar Mpaka Moro ulioimbwa na TMK wanaume. Wengi hawajui hiyo Dar Mpaka Moro haikuanzia na TMK bali ilitokana shuti lililopigwa na Kenneth Mkapa.Huyu jamaa boli alikuwa anajua asee, kwanza hakuwa na papara.
Daah, uzuri kila mtu ana viwango au standards zake. Ndio maana kila mwanamke huzaa.Twaha Hamidu "Noriega" walicheza enzi moja na Ken Mkapa na wote nimewashuhudia live kabisa. Pamoja na kumkubali sana Noriega hasa style yake ya kucheza ubabe mwingi nadhani Mkapa alikuwa juu kwa kiwango. Battle ya And Tom na Noriega haikuwa ya kawaida🤣. Upande wa RB, David Mwakalebela was best. RP alikuwa wa kawnaida tu.
Mkuu uliotea kweli yaani kufungwa 3-1 ni ushindi mkubwa kwenu simba sc. Maana ile 0-3 nyumbani ilikuwa aibu kubwaNaitakia simba kila lakheri ya ushindi wagoli 3:1