black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Sioooo goliii asante V.A.RGooooooal Marumo
Ongezea NGO iwe Gongo wazi YangaGo Yanga [emoji471]
Kweli kabisa ni swala la muda tu.Yanga watajutia hizi nafasi..
Dah! Pale mbele anayepambana ni Mayele tu.
Huyu kisinda muda mwingi anashinda saloon kutengeneza nywele ameshuka sanaDah! Tuisila Kisinda anaharibu kabisa flow ya mpira kule mbele. I wish kipindi cha pili Kennedy Musonda, Faridi Mussa, au Mudathir Yahya.
Kiukweli malumo tunaonewa, refa hayupo upande wetu kabisa