Mpira mtamu sana aiseeUnapigwa mwingi mno hapa tusingeweza kuwaacha hivi hivi
Singida 2 Future 1 kwa jumlaSingida wako vizuri..naombeni aggregate ngapi mpk sasa
Kwa hiyo future inahitaji ipige goal 3Singida 2 Future 1 kwa jumla
Kwa huu mpira, chochote kinawezekana maana wote wako motoKwa hiyo future inahitaji ipige goal 3
Unashauri walete Bus nyuma?Mapumziko 1-1,, lakini 2-1 on aggregate in favor kwa singida big stars
Bora ya SBS kuliko wale wanaocheza mpira wa papatupapatuMechi inaendelea timu zote zikiwa zimefungana magoli moja kwa moja..
Mbona future hawana mashabiki uwanja mweupe kbsKwa huu mpira, chochote kinawezekana maana wote wako moto
Washambulie mwanzo mwishoUnashauri walete Bus nyuma?