kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Mkuu upo mwembeyanga kwa big screen or upo Ujugu arena?Kwa nafasi hizi tunazokosa hovyohovyo bado kuna mtu anakuja kutaka tusifie wachezaji hapa.?
Kuna mtu alishauri achezeshwe namba 9Ila Mpanzu ana tuvituvitu fulani hivi amazing. Huyu tutamuimba saaana
Kuna zigzag moja ameifanya hapa matata sana!Ila Mpanzu ana tuvituvitu fulani hivi amazing. Huyu tutamuimba saaana
Ila inawezekana hana bahati !!Ila Mpanzu ana tuvituvitu fulani hivi amazing. Huyu tutamuimba saaana.
Ninachoona game ambazo ni slow hazimfai, yeye anataka gusa, achia, twende kwao.
Nipo kwangu nimetulia, na ni kweli tumekosa nafasi nyingi za uhakika au mimi naona tofauti.?Mkuu upo mwembeyanga kwa big screen or upo Ujugu arena?
Naona unakosa utulivu hadi unataka kutukana wachezaji ambao hawakusikii🤣
Kuna mawili hapo, either hana bahati au utulivu.Ila inawezekana hana bahati !!
labda CUF ya lipumbaUmeanza zilipendwa.
Goli na Kibu, goli Bora la CAF
Yuko vzr ila nadhani hana nguvu za miguu. Mashuti yake hayana nguvu.Kuna zigzag moja ameifanya hapa matata sana!
Tulia mkuu hao waarabu lazima washushwe leo, wamebana wee ila Kibu keshatikisa nyavu zaoNipo kwangu nimetulia, na ni kweli tumekosa nafasi nyingi za uhakika au mimi naona tofauti.?
Kuchukua sheria mkononi.Yuko vzr ila nadhani hana nguvu za miguu. Mashuti yake hayana nguvu.