FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Ila hawa Constantine tunaweza kukutana nao mbele ya safari. Leo wamepoa ila wako vizuri
 
Dakika ya 80 mpaka kufika 82 Constantine hawajagusa mpira.

Sio kwamba mpira ulisimama...nataka nieleweke vizuri nukta hii.

Wako 11 uwanjani wakiwa na jumla ya miguu 22 lakini kwa dakika takribani 2 wamekuwa wakifanya jogging na marathon fupi fupi pasipo hata ku feel touch ya mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…