FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Ni kweli, ila kuna mambo mengine yanabaki kwa mchezaji mwenyewe, maana kocha anakuwa ametimiza mambo yake mengi tayari
Ni kweli lakini mazoezini vitu hivi vinaelekezeka.

Unawapa maelekezo wachezaji unataka utulivu golini, unawapa maneno ya hamasa, yenye kujenga(MAELEKEZO)
Kisha unawapa mazoezi sasa, 1 vs 1 goalkeeper, 1vs 1 defender, 2 against 2 defenders, 3 vs 2 defenders, unawawekea koni na stick unkiwaelekeza jinsi ya kufanya.

Mfano mzuri umeona lile goli la kibu, msome vizuri mpanzu, alifanya set up kisha akafungua chumba, ili kibu amuwekee kwa mbele ye abaki na kipa, ila kiba akashoot jambo zuri zaidi likawa goli, hivi vitu kwenye uwanja wa mazoezi vinaanzia huko.
 
🦁🦁🦁πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽
Mnyama πŸ’ͺ🏽
 
Hii timu ikikaa pamoja misimu miwili na kufanya maboresho yale tu yanayohitajika, msimu wa tatu itakuwa nzuri mno. So far, sina ubaya na mnyama kabisa. Tulifanya jambo sahihi kuleta damu mpya. Ni suala la muda tu kuna siku tutacheza fainali Club bingwa Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…