Wakunja ngumi utawaweza kwa vituko
SaaaaaaanaHawa jamaa walikuwa wanafungwa kwa goli nyingi zaidi.
Simba wanatisha....
Mhhh labda L... a... b... i... a majora ni equivalent na mbupuπ€£π€£π€£Ngoja niziachilie hizi mbupu sasa aseeee ππ
hapa sasa naweza hata kula.FT: SSC 2 - 0 CSC
Haa!Ngoja niziachilie hizi mbupu sasa aseeee ππ
Mnyama π¦ π¦ π¦ akiwa serious atafanya maajabu....Mshindi wa pekee wa pili wa kumuwazia ni Stellenbosch, mwingine yoyote tunapiga nje ndani