Hawa waarabu hata kwao tulijifunga wenyewe tu, tungeweza kupata sare au kushinda kabisa.
Leo kirahisi tu tulikuwa tunashinda 5 au 6 bila but no utulivu.
Mpanzu anatafuta ufalme
Ahuwa anatafuta ufalme
Halafu fadlu anawaangalia tu what the f×ck? Sijui anawaogopa? Wawashie moto, coach onesha unachukizwa na utopolo wao.
Tunaweza kuzuia vizuri tu mazoezi yote tuyahamishie kwenye namna ya kucheza combination plays kwenye final third ya mpinzani.