FT: CAFCL Group Stage: Young Africans 1-0 Far Rabat | New Amani Complex | 22/11/2025

Wanazengo wana hasira
Mijadala mikubwa ni D9
Mkuu zile video za mauaji ni ukatili wa hali ya juu sana, hatupaswi kabisa kuona ni kawaida kisa burudani ya soka.

Ninaamini mtu aliyepoteza mke, mume, watoto au ndugu hawezi kuelewa mpira muda huu. Sasa ni vyema tukaungana nao katika majozi wanayopitia.
 
Far Rabat tunashinda kishindo cha CCM
 
Far Rabat tunashinda kishindo cha CCM
 
Update muhimu wadau huku kwetu ikifikaga gemu za yanga tu wanakata umeme kutukomoa,geita vijijini tanesco ni wasenyenge sana kmmmmke zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…