SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
Ukiachana na kampeni za uvaaji, boli vipi lakini, linatembea?Ni siku kubwa hii, hadi makolo wanatambua!
dah mkuu unasim mojatuu poleeInanibidi niwe nawasha na kuzima data charge ikae walau nifuatilie kupitia JF...
Shubamiti zao tanesco
Baadae usije kusema wale ni wakimbizi.YANGA ya GAMONDI ya kawaida sana...
Inakuwa tu overrated...!!
Huyu atakuwa ni kolo tu.Unacheki ball?
umeona niniAisee.
Nini kimetokea?Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii IIIIIIIIIIIIIIIIIIIII IIIIIIIIIIIIIIIIIIIII IIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
dah mkuu unasim mojatuu polee
Kwahiyo tukusaidiaje?Wahuni wa jangwani mpaka sasa hivi hamjapata hata kagoli kamoja
Tusubiri dakika 90.Dakika 43'
Young Africans 0- 0 Al - Merrek