Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Watafunguka tu hao ni swala la muda tu.Al Merreikh wako compact sana. Kuwa fungua inaitaji kiungo mnyumbulifu hapo kama pacome, vinginevyo naiona suluhu hapa
Kumbe mwanzo ulikuwa unafurahi, tusamehe sana kwa kuikosa raha ya goli 5. Yanga itakurudishia furaha yakoNawasikitikia
Nawasikitikia jinsi siku hizi hamfungi hizo goli 5Kumbe mwanzo ulikuwa unafurahi, tusamehe sana kwa kuikosa raha ya goli 5. Yanga itakurudishia furaha yako
Sent from my HW-01K using JamiiForums mobile app
Tunaitaji kuwa na watu wakuifungua backline ya timu pinzani, hii ya kutegemea mpinzani afunguke ndio upate ushindi sidhani kama ni njia sahihi ya kupata matokeo.Watafunguka tu hao ni swala la muda tu.
Huu ni mpira kila timu ina haki ya kishida so relaxTunaitaji kuwa na watu wakuifungua backline ya timu pinzani, hii ya kutegemea mpinzani afunguke ndio upate ushindi sidhani kama ni njia sahihi ya kupata matokeo.
Ngoja tuone mkuu Sec half ushindi upoWaarabu wamepaki basi as if wao ndiyo wapo mbele kwa ushindi wa goli 2 bila!! Na wakaijaribu tu kufunguka, wanapigwa.
Yule bosi wa DP World ni kapuku tu hana hata guta hawezi kuwa mshirika wangu kamwe.Laki tano unaiona ndogo mkuu? Au wew ni mshirika wa Boss la DP World
vipi wa 2-2 inafata nini?5,5, zikaja 2 2 zikaja 1 1 sasa hivi zinakuja 0 0.
Sasa hivi bakora zitatembea hapo
Sahihi kabisa. Tukiwapiga moja tu, tumeshamaliza mchezo.Ngoja tuone mkuu Sec half ushindi upo
Mwanzo ulikuwa unatufurahia, safi sana tutakurudishia furaha yakoNawasikitikia jinsi siku hizi hamfungi hizo goli 5
Mzize huwa simuamini sana ingawa sometimes hufanya kweli.Mabadiliko, Moloko nje Mzize Ndani
Watu tumebeti kuanzia goli nne, halafu nyie mnazungumzia moja tena? Au nihesabu nimeshaliwa tayari?Tukiwapiga moja tu, tumeshamaliza mchezo.
Unaonge utadhani mpira umeisha.Watu tumebeti kuanzia goli nne, halafu nyie mnazungumzia moja tena? Au nimeliwa tayari?
Mwanzo mzuriMzize anafunga Goli ila mpira ulitoka nje kabla ya goli kufungwa