mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Yanga tayari hukoNasikia makelele nje huko, kunani?
Kocha kazinguaIle maana nzima ya Aziz K day imeondoka
Ila wewe nifah weweSawa lakini Mzize aondoke usajili wa dirisha dogo, yeye na Musonda.
Yaani alitakiwa amtowe moloko, aziz amecheza vizuri sana paka anatolewaKocha kazingua
Kwa nini wakati ndio wafungaji wenyewe?Sawa lakini Mzize aondoke usajili wa dirisha dogo, yeye na Musonda.
Yamekuwa hayoSawa lakini Mzize aondoke usajili wa dirisha dogo, yeye na Musonda.