black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Wanajifanya wamesahauuu[emoji23][emoji23]Mod badirisha ubao
Hatufuati hisia mama Wacha kocha afanye kazi yake kumbuka pia tarehe 4 tuna mechiKocha kazingua
Wana wivuWanajifanya wamesahauuu[emoji23][emoji23]
Hapa wanabadirisha likiwa la pili au?Wanajifanya wamesahauuu[emoji23][emoji23]
Yanga tayari huko
Anakufa attendant Mshana.Bomu mortuary
Unafikiri ni mechi rahisi...??Hatimaye kwa mbinde
Mkuu mods wengi humu ni mikia kwaio sio ajabuHapa wanabadirisha likiwa la pili au?
Asiondoke ,Bali awe anaingia kipindi Cha pili super sub Kama chicharito,ana safari ndefu ya bado ,awe Kama mayele,akiondoka timu Kama yanga ,atapotea kabisa,tukuze vipaji vya vijana wetu wazawaSawa lakini Mzize aondoke usajili wa dirisha dogo, yeye na Musonda.
Tulia weweBomu mortuary
Utakufa na wivuMnacheza na wakimbizi wa Sudan kelele kibao
Sawa mjinga wewe5,5, zikaja 2 2 zikaja 1 1 sasa hivi zinakuja 0 0.
Sasa hivi bakora zitatembea hapo