Kwani sio wakimbizi mkuu ?Utakufa na wivu
Unateseka sana mkuu. Pole.Mnashinda lakini hamna raha🤣
Kama wale mnaokimbilia Muhimbili.Kwani sio wakimbizi mkuu ?
Wataita maji mmaKwa Miaka 2 mfululizo Yanga Wanapata Kamseleleko Kwenye mashindano Ya CAF. Tukutane Makundi
Acha wapite wakapambane, nasema wakapambaneYanga wanaongoza
mbona ni kama unwatishia?Kwa Miaka 2 mfululizo Yanga Wanapata Kamseleleko Kwenye mashindano Ya CAF. Tukutane Makundi
Mseleleko ndio imekuwa njia ya Simba miaka yote kufika makundi. Usione wivu Yanga nao kufaidikaKwa Miaka 2 mfululizo Yanga Wanapata Kamseleleko Kwenye mashindano Ya CAF. Tukutane Makundi
Mnateseka sana!Utopolo inaporomoka kwa kasi sana.
Ni uhalisia Wala sio kutesekaMnateseka sana!
Wa Sudan auKuna watu wanaumia.......
Sana na wanalia kwa lesoKuna watu wanaumia.......