Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Sawa mzee nikajua ni wewe maana hii message nimeiona leo asubuh kwenye group alafu nafika huku JF nakutana na comment yako nikajua ni mtu mmojaDuh haki ya nani ?
Hilo jinga limetumia jina langu sio mimi ndugu.
Mimi nabeti kikubwa kwa mshahara wangu sio ada broh
Wenye helaha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume hatujielezi sana mkuu
Hapana kaka mimi ni mwamba mmoja sibetii hela ya shule nabet mshaharaSawa mzee nikajua ni wewe maana hii message nimeiona leo asubuh kwenye group alafu nafika huku JF nakutana na comment yako nikajua ni mtu mmoja
Labda kama unaweka million ila mimi kwenye stake mpk laki 5 nimefika , nilikua naweka stake laki 5 kama umevuka hapo ntakupa shikamooHapana kaka mimi ni mwamba mmoja sibetii hela ya shule nabet mshahara
nikikutumia mikeka yangu hautasema shikamoo ? Niahidi kwanza ndiyo nikitumie[emoji3]
Rafiki yangu huko kwenye milioni nilitoka zamani .Labda kama unaweka million ila mimi kwenye stake mpk laki 5 nimefika , nilikua naweka stake laki 5 kama umevuka hapo ntakupa shikamoo
Picha za uwanjani ziko wapi?CAFCL: Young Africans SC Vs Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023
Time 1900Hrs EST
Second preliminary round · Leg 2 of 2
Aggregate: 2 - 0
View attachment 2766911
Nime mark tayari ila naomba ikitokea kinyume chake tusijesikia maneno ya wakimbizi, hawana ligi, mara hawana wachezaji. Kwa hii comment yako tu umekiri kuwa Al Merrikh ni timu kali sana ya kuweza kuifunga Yanga goli tatu leo.Yanga leo atafungwa 3 kwa moja na atatupwa nje ya mashindamo mark my words
Hapo kuna wahudumu washamba sanaRafiki yangu huko kwenye milioni nilitoka zamani .
Niko kwenye milioni kadhaa uwa nikichezea vichapo napotea hapa jamvini hata mwaka maana uwa ni mimi na pombe maana nakuwa nimechanganyikiwa .
Anyway leo usimpe Yanga win , bayern mpe na city draw twende hivyo badae niombe mkeka wangu .
Vipi lakini kamnyweso unatumia ? Nimeweka mkweche wangu bond niko na laki sita hapa Mbeya Carnival njoo tunywe kaka maisha ni haya haya .
Mimi nipo dsm hata hivyo sio mnywaji , mimi nakula nyama na pisi nikitoka hapo ugonjwa wangu mwingine mpiraRafiki yangu huko kwenye milioni nilitoka zamani .
Niko kwenye milioni kadhaa uwa nikichezea vichapo napotea hapa jamvini hata mwaka maana uwa ni mimi na pombe maana nakuwa nimechanganyikiwa .
Anyway leo usimpe Yanga win , bayern mpe na city draw twende hivyo badae niombe mkeka wangu .
Vipi lakini kamnyweso unatumia ? Nimeweka mkweche wangu bond niko na laki sita hapa Mbeya Carnival njoo tunywe kaka maisha ni haya haya .
Ni washamba sijapata kuona ila nilishawazoea na ukizingatia kwa hela ndogo wananipa nyapu basi nawaona wamaana kwel kweliHapo kuna wahudumu washamba sana
Sawa mzee , nikija Dar nitakuita Keko tule nyama za kutosha alafu tukawaangalie Simba wakiwa wanampiga mtoto yeyote kwenye ligiMimi nipo dsm hata hivyo sio mnywaji , mimi nakula nyama na pisi nikitoka hapo ugonjwa wangu mwingine mpira
Maajabu wanaume wa makolo ndio wanayaogopa 😂😂Asije akawa anauza huyu jamaa yetu..Paja zimenona hizo af kazipakaa mafuta zinang'aa..Ajiangalie hii bongo ishachadukwa