Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
kafanyaje kwaniKoni Koni Mbadala wa Mayele viipi..? Leo Kaanza..?
Hizi Sajili zingine Lawama...!
Hakuna Alichofanya mpaka Muda huu....inspire ya dk Alizopewa kufanya kitu..!kafanyaje kwani
We cheka muda ukifika utakuwa unalilia chooni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vuta subira atakufanya kitu tu, usiwe na haraka hivyo.Hakuna Alichofanya mpaka Muda huu....inspire ya dk Alizopewa kufanya kitu..!
Nenda na bar,uwaambie hivi mnashindwa kununua bia mnywee makwenu?Wale wa vibanda umiza kwa nini msinunue TV zenu?
Yaani mmekosa kabisa laki 5?mnajiaibisha sana