Na watasemaaa[emoji23][emoji23][emoji172]Bado hamjasema!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Laki tano unaiona ndogo mkuu? Au wew ni mshirika wa Boss la DP WorldWale wa vibanda umiza kwa nini msinunue TV zenu?
Yaani mmekosa kabisa laki 5?mnajiaibisha sana
n mwendo wa azam max tuVipi umeme huko[emoji53]
Huku nilipo ndio umerudi......Huku washakata umbwa hawa...
Sept 11,2022.
CPA(T) OKW BOBAN SUNZU,"Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija."
Masaa 11 baadae.View attachment 2767100
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku nilipo ndio umerudi......
acha tufurahie kandanda la deportivo de la Utopolo.
Funguo au mwiko?Tia funguo hao waarabu koko wakalilie mto msimbazi!
Taa-nesi-koo ni wasengerema sana