mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
5G mbona ilishaota mbawa tokea wacheze na kagera sugar!!Wamezoea kufunga goli 5.
Acha kutukana mto wenye mamba..Wamezoea kufunga goli 5.
Wanahitaji mpinzaniHawa azam 🚮
Tupate Wadhamini kidogo.Azam ndo nn hikiii
Usifananishe uto na mamba tafadhali!!Acha kutukana mto wenye mamba..
Wanazingua sana,mpira haunogi kabisaLeo Azam nao wanazingua quality ya camera ni mbovu, na uchukuaji wa picha nao ni mbovu
Ubao ungekuwa unasoma uto 4 -CBE 0 usingeona kuwa picha ni mbovu!! uto ndo wabovu!! kitimu hakipo kabisa kwenye ramani ya soka afrika kimewatoa jasho!!Wanazingua sana,mpira haunogi kabisa