AahaaaaaaaaaNyuzi lukuki mumeshaanzisha mujifunze kwa mtani tena mapema tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mhhh huyu Mkude anapiga paso elekezi aiseeeeetulisema tunawasubiri nyumbani na wamekuja sasa kinawakuta
Kwao tutajifunza namna ya kuwateka pisi kali wanaovaa jezi zao.Nyuzi lukuki mumeshaanzisha mujifunze kwa mtani tena mapema tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
kule alikuwa anapoteza muda tuMhhh huyu Mkude anapiga paso elekezi aiseeeee
Aahahaaa OKW BOBAN SUNZU njoo hukukule alikuwa anapoteza muda tu
Azam ana mengi ya kujifunzailifaa mechi yetu ianze ndo ifate ya azam ajifunze namna ya kupiga nyau
π€π€π€π€π€π€π€Hakuna specific scorer ila Magoli yanaingia tu Kwann!??
Haezi kuja vitu vyake vingi hua vinabuma.Aahahaaa OKW BOBAN SUNZU njoo huku
Mzize akamuroge Konkoni mapema,three official games goli mbili
ππππππ
Huu mfumo wa huyu kocha umetisha sana, ni kweli Yanga hawana mfungaji maalum, ni wajibu wa kila mchezaji kufunga na wanafunga mengi.Hakuna specific scorer ila Magoli yanaingia tu Kwann!??
Siku akipewa uadimn wa jf,atazifuta posts zake zoteeeeHaezi kuja vitu vyake vingi hua vinabuma.
ni mtanzania aliye chelewa kujiunga na wenzake job, msherry na kibwana kupata raha hiziHivi Kibabage ni Mtanzania?
Kwa sababu ni mtamu kama ice cream za AzamMpira unaisha haraka sana