FT: CCL: Yanga 5-1 Asas FC | Azam Complex| 26/08/2023

Yaani niache kuangalia EPL niwaangalie utopwinyo vs Wakondefu Fc? yatakua matumizi mabaya ya akili...
Kuna sehemu nimepita nimekuta wamachinga ambao ni mashabiki wa Simba wapo chini ya meza wanasifia mpira wa Yanga kwa sauti ya chini. Wanaangalia mpira halafu Kila baada ya dakika kadhaa wanaenda kuongelea chini ya meza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…