Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
OKW BOBAN SUNZUChampions league bila simba, mamelodi, wydad na al ahly hiyo ni ndondo cup.
Kama Cha Cr7kinaitwa kichwa cha mauajii
kweli ndo maana mpaka sasa haijapata goliForward ya Yanga ni mbovu, tutafute Mbadala wa Mayele ππππ πππ
Now wamejifunza hawasemi teni.Aya ndugu zetu makolo mtuambie mapema Al marrekh n wabovu au kwao kuna vita tujue mapema msije kunadili maneno maana kwa hii Yanga wakuifunga labda n mahakama tu
AahaaaaaaaaAya ndugu zetu makolo mtuambie mapema Al marrekh n wabovu au kwao kuna vita tujue mapema msije kunadili maneno maana kwa hii Yanga wakuifunga labda n mahakama tu
ni kosa kisheria amaKipa umri wake hauzidi miaka 16
Bomu limetua mochwari pigeni kumi na moja kama mko vizuri.
Asas ni kundi la wahuni, ukichanganya na ndumba mlizopiga ndio mmewamaliza kabisa