Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
kabisaNa Karia ni kolo mtupu
Vibonde walitolewa robo hukoVibonde
Nimemtumia ujumbe Mzee Mpili hapa nasubiria majibuHivi Okra kaenda wapi?
Kafanyaje?Nilisema Arajiga ni Uto mtupu
Ngap ngap huko..Mechi nzuri sana
Hivyo ni viti vya watu wa huduma ya kwanzaUmeangalia vizuri pembeni pale kushoto?
Yanga BingwaKila la kheri Wananchi!
Kombe la CRDB tunalihitaji Jangwani
Ulitaka kusemaje mkuu 😊
Usikwepeshe makaburi na upuuzi
Havikupaswa kuwepo hapo. Vinachafua uwanja
SanaaaHawa warembo wa Young wapo hot sana[emoji39]
Hayo mambo mengine Sasa. Rejea kauli Yako ya awali.Havikupaswa kuwepo hapo. Vinachafua uwanja
⅓ ya mlizozicheza ndio imebakiaTusubiri 30 za nyongeza