Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Unapata wapi ujasiri wa kumzungumzia BINGWA WA NCHI?Hakuna timu huko ni useless team ! We ngoja msimu ujao kuna watu pale utopolo watakunywa sumu..
Mmemiliki?Muda wa Yanga sasa kumiliki
Unalala hatujanyanyua kombe? Vumilia kidogoMmemiliki?
Nangoja kucheka nilale
Yuko ndani ya range rover pussy inapata baridi kidogoHayupo lakin haingii ndani kisura
[emoji23][emoji23][emoji23]Azam niokoeni. Nimebana mapumbu msifungwe. Sasa mfungwe na mapumbu nikose?
KalaleeeNikiona tu page chache basi Yanga hajafunga. Maana wana fujo sana wakifunga.
Ewaaaaaagoaaaaaaaal
Ni Stephano Aziz Ki
Yanga 1- Azam 0
Aendelee kuwepo ili wamvunje vizuri asicheze mwaka mzima.Pacome analazimishwa kuwepo uwanjani. Nahisi bado hayuko sawa
Kombe gani mliloshindwa kunyanyua ndani ya dk 105?Unalala hatujanyanyua kombe? Vumilia kidogo
Mkuu wengine tuna pressure. Na mapumbu yanauma. Usiandike tena uongo.goaaaaaaaal
Ni Stephano Aziz Ki
Yanga 1- Azam 0
Game ngumu hii... vumilia kidogoKombe gani mliloshindwa kunyanyua ndani ya dk 105?