Imeanza upya. HongeraAhsante sana mkuu
Tumpe Eng zile voice note au tumuache tu 🤣🤣🤣🤣Hersi acha upuuzi baki na mkeo. Wengine chapa kisirisiri sio mpaka tujue
Lambalamba hovyo kabisaImeanza upya. Hongera
Eeeeh wanaleta mambo ya kuzimuTumpe Eng zile voice note au tumuache tu 🤣🤣🤣🤣
Huyo anacheza namba ngapi kwani?...😂😂😂
Kwani umechangiwa ukala au umejichanga ukala😁Kuna timu ina taji 0 na mwingine taji 1 wanacheza kombe la wanaume huk timu yenye mataji 2 inaenda kucheza kombe la Luza
Lawama zooteee kwa mabeto kina gundu kile kichawi. Kila kinapoenda kinaacha shida mfyuuuu
Nasikia kelelegoaaaaaaaal
Ni Stephano Aziz Ki
Yanga 1- Azam 0
Tumpe Eng zile voice note au tumuache tu 🤣🤣🤣🤣