Wangekupanga weweAlafu huyu msng kwanini wanampaga penati?
Tulia kidogoNani bingwa?
Just imagine daah
Yanga BingwaIla ushabiki unatesa jamani
SisemiSema Yanga Bingwa
Hiyo timu ina wachezaji ambao hawako serious.Pamoja nakwamba simba haikua serious ila azam imezidi.Lambalamba hovyo kabisa
Yanga BingwaUto....mmeshachukua ubingwa wa NBC, acheni na wengine nao wavae medali bhana.
Msikombe Kila kitu