FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Maana halisi ya chupuchupu nimeipata Leo.

Pamoja na kununua Uzi mpyaa GSM ilibaki manusra tuaibike.
penalti za mwisho hata sikutazama nilikimbilia washroom kabisa maana machozi yalianza kunilengalenga halafu nilikuwa nimekaa na makolo wanashangilia penalti za Azam..!!

Nimekuja kushangilia baada ya kutoka sasa watu wameshamaliza..!πŸ™Œ
 
Umeitendea haki hii mechi. Umerepot mwanzo mwisho. Asante
 
Feitotooooooo Goooooooooooo 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…