Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
MakoloHujui mpira wewe, kacheki review uone kama ni offside. Kiazi kweli
Unateseka ukiwa wapi ewe utoBila refa kuiacha ile offside basi makolo fc leo wasingepata goli
Nikiwa makolo fcUnateseka ukiwa wapi ewe uto
Luc ana skill sana.Mikia hakuna timu pale, tukutane game ijayo
safari hii tumewaachia utopolo wafike nusu fainali mkuuHii ndio Simba yenye wiki ya saba kuanzia pre season mbaka sasa na msimu huu wa mashindano ya CAF tunatarajia itafika nusu fainal ya Caf champion league.
UTO kama UTOMakolo
Nakuona hapo ukiwakilisha maumivu kama mshabiki wa manyani fcMakolo
Kuwa refa sasaBila refa kuiacha ile offside basi makolo fc leo wasingepata goli
Ingefaa TFF iifungie Dodoma Jiji kwa mchezo wa rafu sana.
Kwa kweli si kawaida ya Simba kushindwa kutengeneza nafasi, hiyo ni kawaida ya manyani, ma-mbwa, mautopolo hukoSasa nime elewa kwanini MO katoboa boti alafu yeye katimua mbio. Yaani Leo hii Simba inashindwa kutengeneza nafasi!!!
Hili soka letu bwana. Biashara alikaza kwa Simba Leo kafungwa na Ruvu akiwa Nyumbani kwake.
Timu za saizi yake zinaondoka na points zote.
Tulia dadaMashabiki wa kweli hawahami timu best. Yanga walikua na misimu mi4 mibovu uliona wanahama?
Wajitahidi wasiwe wanapunguzwaMbona ni kawaida kwa simba kushinda baada ya wapinzani kupunguzwa, tofauti na hapo nothing new to this club
Acha ushabiki fuata upepo wewe. Yani Kila timu ikifungwa wewe unahamia nyingine. Jifunze kuwa mvumilivu kama shabiki wa ARSENAL 💪Simba wanatufanya mashabiki tujae hofu.
Makolo muli bwanji babaa...
Na leo tukifungwa? Nitapokea zawad jersey za uto tu hakuna namna.
Tulia mjombaAcha ushabiki fuata upepo wewe. Yani Kila timu ikifungwa wewe unahamia nyingine. Jifunze kuwa mvumilivu kama shabiki wa ARSENAL 💪