Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kila lenye kheri chama langu, mimi hata mkitoa draw leo na Dodoma Jiji nitapokea kwa furaha sana Coz timu yangu ya simba ni tia maji tia unga
Stream gan twaweza kutazama mech live????
Azam max ila mpaka nyumbani kwako uwe na dish lao.
Naona kocha kaamua kupanga wachezaji wengi wanaolingana kiuwezo na DFC na sioni kuna jipya au tofauti ya matokeo na zilizopita
Taitu kalesa ndili muche makoloUto kwanza fika at least group stage ya CL then tunaweza kuongea
Oh wait . . . . . . . .
Napita makolo😂😂😂😂Taitu kalesa ndili muche makolo
Hufai wewe kuwa shabiki huna moyo wa uvumilivuSimba wanatufanya mashabiki tujae hofu.
Makolo muli bwanji babaa...
Na leo tukifungwa? Nitapokea zawad jersey za uto tu hakuna namna.
Tobaaaa uwanja mbovu niniSacko anatolewa nje kwa majeraha
ndiyo hasara ya kusajili wagonjwa makolo watajua hawajui!Sacko anatolewa nje kwa majeraha