Dodoma FC wanacheza style gani?Simba Sijui hata Tunacheza nini? Haijulikani Formation wala style tunayocheza
Hamuwezi kwa mpira huuMungu asaidie tushinde
HahahaHata kiungo wetu hajulikani ni Nani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Unaweza Sema ni Aish Manula
Ulete na matokeo ya FT, usiingie chaka musa ukitimia.Hayaa Hayaaa Hayaaa, Mechi Ya Kujipima Uwezo Wao Kabla Ya Kuelekea Bostwana Kwenye CAF champions League, Mechi Ya Kufikisha Alama 4 kwenye Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mechi ya Mtu kufikisha Alama 6 kwenye Ligi kuu Tanzania Bara, Au unaweza Kuita Ni Mechi ya Kurudisha Matumaini Yaliyopotea Kwa Miongoni mwa mashabiki Wa Simba.
Leo Ni muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bora, Ni kati Ya DODOMA JIJI na SIMBA SC kwenye Dimba La Jamuhuri. Uwanja Kidogo Ni wa matumaini Kulinganisha na Ule ma Msoma.
Tuwe hapa kwa Dakika 90 Kushuhudia hicho kipute.
Leo Simba Wataingia Vipi na Watafanya Vipi.
Twende tuone Saa 10:00 Jioni
View attachment 1959301
Hahaha mkuu badae watakuwa poa, bado chemistry haiko poaKweli maisha yanabadilika aisee,leo hii Okwi Bobani Sunzu ni wakukimbia timu yake ikiwa uwanjani?
Jamaa amekimbia uzi..sasa hivi anaangaika kutafuta namba za mabank teller wa kike..kaprint businness card 100.Kweli maisha yanabadilika aisee, leo hii Okwi Bobani Sunzu ni wa kukimbia timu yake ikiwa uwanjani?