Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Croatia waliiondoa England kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2018, lakini huo ndio ushindi pekee waliopata dhidi ya England katika mechi sita zilizopita walizokutana.
Anaitwa Chukwunonso Azuka Tristan Madueke amezaliwa UingerezaHuyo Madueke anafanya nini Uingereza si aende kwao Ufaransa
Arudi kwao Afrika au ikishindikana aende hata UfaransaAnaitwa Chukwunonso Azuka Tristan Madueke amezaliwa Uingereza