FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Screenshot_20240518-170647_1.jpg

Tumeanza mechi.

Screenshot_20240518-170619_1.jpg

Kikosi cha Azam FC kinachoanza

Screenshot_20240518-170659_1.jpg

Kikosi cha Coastal Union kinachoanza

Dakika ya 41 Azam wamepata penalty...

Gooooal - Sopu
 
Mashambulizi yanaendelea
 
Azam wanashambulia dk ya 44 ila mashambulizi hayana madhara
 
Ooh coastal wamwshindwa kumalizia hii..
 
Kona hapa dk ya 47, zimeongezwa tatu kabla ya HT
 
Dk 45 za mwanzo zimeisha
 
Moderator naomba kubadirisha jina la Uwanja ni CCM Kirumba sijui nawaza nini?
 
Hawa Azam fc inafaa waje fainali tuwapige kama ngoma shabiki wa yanga SC kutoka kigambonino
 
Back
Top Bottom