FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

Azam 1 Coastal Union 0
 
Mashambulizi yanaendelea
 
Azam wanashambulia dk ya 44 ila mashambulizi hayana madhara
 
Ooh coastal wamwshindwa kumalizia hii..
 
Kona hapa dk ya 47, zimeongezwa tatu kabla ya HT
 
Dk 45 za mwanzo zimeisha
 
Moderator naomba kubadirisha jina la Uwanja ni CCM Kirumba sijui nawaza nini?
 
Hawa Azam fc inafaa waje fainali tuwapige kama ngoma shabiki wa yanga SC kutoka kigambonino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…