FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
IMG-20240831-WA0063.jpg
 
Inaoneshwa channel gani?
Isijekua yaleyale ya kuchezea chumbani matokea ya kupangwa hadharani
Chaneli za mpira Azam 1

Unaweza ukaangalia vipindi vya mapishi kama kifurushi chako hakikuwezeshi kuona mechi ila hapa tutaweka kila kitu.

Hawa Al Hilal ndio wale waliwahi kuitoa timu moja ya hapa Bongo kwenye michuano ya Club Bingwa na kuitupia Shirikisho.

Simba inaenda kutoa somo, wote shikeni peni muangalia kile ambacho mlitakiwa kukifanya
 
kwa nini unaogopa kuitaja ni UTOPOLO si ndio??
 
Chaneli za mpira Azam 1

Unaweza ukaangalia vipindi vya mapishi kama kifurushi chako hakikuwezeshi kuona mechi ila hapa tutaweka kila kitu.

Hawa Al Hilal ndio wale waliwahi kuitoa timu moja ya hapa Bongo kwenye michuano ya Club Bingwa na kuitupia Shirikisho.

Simba inaenda kutoa somo, wote shikeni peni muangalia kile ambacho mlitakiwa kukifanya
Ni UTOPOLO ilitolewaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nimuone huyu Ateba ana kipi cha kumzidi Mukwala.

Tayari kwangu Mukwala ame earn trust yangu kwa jinsi nilivyonionesha fighting spirit japo kuwa hakuwa na bahati ya kufunga

Kama kocha ni kweli huyu Ateba ndio alikuwa amemchagua nitaenda kuona ana kipi cha tofauti
 
Back
Top Bottom