Si mpaka yapatikaneMsisahu kutuma video za magoli
Raha ya game mashabiki waingie wenyewe, sasa hivi unavotupa mialiko huu ni mpira au ni kipaimara???
Azamtv, sports 1 channelInaoneshwa channel gani?
Isijekua yaleyale ya kuchezea chumbani matokea ya kupangwa hadharani
πππ usitufokeeeRaha ya game mashabiki waingie wenyewe, sasa hivi unavotupa mialiko huu ni mpira au ni kipaimara???
Haya nimekuja mpira saa ngapi unachezewa wapi.....utaoneshwa? Au ninunue battery niweke kwenye radio yangu???πΉπΉ
Naliona duka kwenye milingoti mitatua
π Magoli wakishafungwa hawachelewi kusema hawakucheza hio mechiMsisahu kutuma video za magoli
Simba ndio simba mkuuππππ Magoli wakishafungwa hawachelewi kusema hawakucheza hio mechi