FT | Friendly Match: Simba 1-1 Al Hilal | KMC Complex

porojo za vijiweni na kuaminishwa ujinga

tangu atoke golini mmefanya cha maana kipi, mbona kipigo kiko palepale

kama si udhaifu wa refa mngekula ngapi mechi iliyo pita na manula hakuwepo
Ile mechi watu wamepiga hela
 
C2 mpoo
Unajua faida ya MKOJO wako wa asbh ni dawa ya matatzo haya tena ni dawa kubwa mno.
1.Ukiitaj uwe mrembo tumia mkojo wako.
2.Mkojo wako ni limbwata kubwa mno ya kumfunga mpnz malaya na kibur.
3.Mkojo ni dawa ya kuuwa uchaw mwilin ulio lishwa na wachaw au mtu.
4.Mkojo huo huo ni dawa ya kuuwa limbwata kama ulilishwa na mpnz wako ili umpende.
5.Kama umemwagiwa madawa nje ww tumia mkojo na majivu huuwa madawa yote.
6.Nyumba inayotembea vitu usiku au unasikia mchanga juu ya bati au vitu vya ajabu ndan ww tumia mokojo ndio kiboko ya vitu vya kichaw.
7.Kama una kiwanja au nyumba unauza unaitaj siku 7 iwe umesha pata wateja ww tumia mkojo na udongo wa sokon hapo ni haraka tu.
8.Unamakunyanz uson unaitaj uyatoe tumia mkojo tu ndio dawa mujarabu mno.
DR PDIDY DEL PIERO
 
Nawe acha uongo wako unatuharibia uzi wetu, mvuto wa mapenzi mjini dawa yake pesa tu.
 
FAHAMU KUHUSU FAIDA ZINAZOPATIKANA KWA KUTUMIA CHUMVI YA MAWE KATIKA MAISHA NA MAPENZI

Leo nimeona niwape kwa uchache kati ya matumizi lukuki ya chumvi ya mawe katika matibabu ya asili na mambo ya kurekebisha ndoa.

CHUMVI YA MAWE NI IPI

chumvi inayozungumziwa hapa ni ile chumvi ya mawe iliyotoka katika maji ya bahar kabla haijafikia stage ya kusagwa ile chumvi ina faida kubwa sana na hutakiwi kuikosa nyumbani kwako

baadhi ya faida tu unazozipata ni kama ifuatavyo

ukichukua chumvi ya mawe ukachanya na unga wa pilipili nyekundu zile ndefu hifadhi kwwnye kitambaa cheupe ukaweka kwenye mkoba wako au kwwnye kiatu chako utapata faida zifuatazo

*ukienda kuomba msaada au kazi utapata kwa wepesi hasa kwa wale wenye gundu.

*Ukivaa viatu ukimfuata mpenzi au mtu asiyekusikiliza na kukujali atakuwa mpole na kukukishia haja yako

*UKimfuata unayemdai anaweza akakulipa deni lako kwa urahisi iwapo kama pesa anayo ila mzito kukulipa

* Unaweza ukafurahiwa na kiongozi wako wa kazi au kupendwa na wateja

UKIACHANA NA HAYO PIA UNAWEZA KUZIDISHA MAPENZI KWA MTU ASIYETULIA AWE MKE MUME

mahitaji

chumvi ya mawe

kifuu dume kilichokunwa

chukua kifuu chako dume weka kwenye moto kama sufulia au chungu alaf tia chumvi ya mawe ndani yake iache ianze kuungua wakati moshi unaanza kufuka

sema hivi

"mimi fulani bin fulan [unataja jina lao] namchomea kifuu hk fulan bin fulan utamtaja kwa kuwa ni mume au mke wangu nataka atulie anisikilize aniheshimu utaongeza vitu unavyovtaka mwenywe katika hitaj lako kwake"

Acha kiwake mpaka mwisho, mambo ya kuzingatia kifuu dume ni kile kifuu cha nazi kisichokuwa na macho yaanikile chenye nundu

CHUMVI .....UKOJUUU ENDELEA KUOGOPA MAFTA YA KINA
 
Al hilal Hawa Hawa Ambao hawana ligi yenye maana kutokana na Vita huko Sudan ndoo mnakuja kusema wamoto ...Cheza mechi zako ila timu yako baado haiko stable tuwape mda ila bado
 
HT
Simba 1-0 Al Hilal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…