mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Unamzungumzia ile yanga ya kutembeza bakuli? Yenye golikipa Kindoki[emoji23][emoji23]Pyramids waliwafunga nani hapo Kirumba.
sportpesanews.comUnamzungumzia ile yanga ya kutembeza bakuli? Yenye golikipa Kindoki[emoji23][emoji23]
Ni Yanga SCUnamzungumzia ile yanga ya kutembeza bakuli? Yenye golikipa Kindoki[emoji23][emoji23]
Zama zimebadilika, Yanga ya sasa ndio timu inayoogopwa zaidi na waarabu hapa duniani.Ni Yanga SC
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna MTU kapiga Bomu mortuary huko
Yanga 3-0 Friends of Simba
Yanga 2_1 Ihefu SSCYanga 3-0 Friends of Simba
Halafu ndio vibonde wa Ihefu 😂Yanga ya sasa ndio timu inayoogopwa zaidi na waarabu hapa duniani.
Acha maneno. Tupe kwanza matokeo ya KMC vs Ihefu.Tunashuhudia pira bahasha hapa kaliua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji870][emoji870][emoji870]Dak 90 Geita hawajapiga shuti on target hata moja
Amepigwa na KMCAcha maneno. Tupe kwanza matokeo ya KMC vs Ihefu.
Unategemea nn kwa Uto B?Dak 90 Geita hawajapiga shuti on target hata moja
Yanga atafungwa taifa lakini sio kirumba kila timu haikuwahi kupona
Hersi akitaka wachezaji wapya chaka la kwenda kuchukua ni Asec Mimosas tu...maana kuanzia kwa ki, Yao na pacome ni [emoji91][emoji91][emoji91]