FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

Kwanini? Ila wewe ni mwehu
Bongo la kocha Jamaa,msimvuruge na mambo yenuu ya kiswahili.Bench la ufundi lipo vyema.

1.utimamu wa wachezaji,wakiwa wanacheza unaona kunakitu super beach la ufundi linaofer...kitu hiki Simba ni "D" wachezaji weak sana ingawa Simba nao kikosi ni kizuri tu kosa ni kwa mtu wa mazoezi hatoshi.
2.Gamond convincing power anayo kubwaa kwa wachezaji na anapenda umoja ndani ya team...Simba kocha wengee sana.
3. Yanga kikosi kinahamu ya mafanikio either kwa mchezaji binafsi na kwa team kwaujumla(Kujitumaa).Eg.Leo Yao Yao goal la kwanza kapambana mnooo kweli unaonakazi imefanyika...Hiki kwa Simba nawapa Grade "C" Yanga "B".
 
Naunga mkono hoja
 

Yao hatamsahau Ally Salim
 
Hapo kirumba, Tz nzima hakuna timu inapata matokeo kwa yanga, hata mama yao miaka 85 hajawahi kufurukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…