pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Unavyoongea ni kama kitu rahisiJamaa hawako serious kabisa, Mimi mwanzo nilidhani wameuza game but ndivyo walivyo, Germany wana timu ya kawaida Sana. Yaani unaona kabisa Ivory Coast ni Jambo la kukaza kidogo tu hii mechi wangeshinda, Ivory coast wakienda mbele unaona kabisa kama wengekuwa serious Magoli wangepata.... Germany Hadi walichanganyikiwa, Jamaa wanakuja Tu...Hatupo serious...asiposhinda mechi ijayo anatoka maana Ecuador hatacheka na yyte.....
Kila timu inataka kushinda, kushinda kwako kutategemea na umakini na usahihi wako wa kutumia nafasi...Unavyoongea ni kama kitu rahisi
Unadhani wao hawana shida na ushindi?
Kwa ule uchezaji wao jamaa ana haki kusema hivyo... Hilo tatizo ni Afrika nzima haswa timu za watu weusi,, tunapenda ku-showcase uwezo binafsi kuliko kuangalia nini kinafaa kwa timu na kufanya maamuzi yasiyoendana na moment husika.Unavyoongea ni kama kitu rahisi
Unadhani wao hawana shida na ushindi?
Tanzania yenu iko wapi.🤣🤣🤣Tatizo Ivorycoast ni kocha anaona wachezaji wamechoka anachelewa kufanya sub, wachezaji hawajitumi hata kuwapigia kelele na pia wachezaji wengine hawajielewi kama yule aliyepewa pasi na Pepe anajigongagonga tu badala ya kutupia nyavuni pia pasi back zimekuwa nyingi..
Mi naangalia karibu kila mechiKwa ule uchezaji wao jamaa ana haki kusema hivyo... Hilo tatizo ni Afrika nzima haswa timu za watu weusi,, tunapenda ku-showcase uwezo binafsi kuliko kuangalia nini kinafaa kwa timu na kufanya maamuzi yasiyoendana na moment husika.
Wanapata nafasi nyingi za kumaliza mechi ila wanazichezea..
Ivory Coast alishamkamata Ujerumani, ikawa ni wao kumaliza mechi wanaanza kuleta masihara,, nafkiri uliona tofauti ya watu wanaojua kinachohitajika na wanaopelekeshwa na moment iliyopo..
Senegal walimshika France kipindi cha kwanza ile juzi na nafasi kibao wakawa wanazichezea,, uliona France walichokifanya walivyopata nafasi..