Haichomoki nini sasa? Akili za kifukara hizi, na ufukara ni laaana.Haichomoki hiyo,ishashika nganganga
Sema ukweli hawana TimuBasi tu simba hawako fit leo
Ila hi timu sio ngumu
hao wanashiriki michuano gani?Chama yupo kwenye form dhidi ya vibonde tu, akiwa mbele ya wanaume kama Aucho, Bangala, Feisal huwa hapumui.
Na robo fainali wamefika mara mbili tu.Hawana kitu na always wanafika robo final club bingwa
Akikutana na Ruvu anafunga hat trick, mnakuja kumpamba hapaBoco ni boko kweli kweli. Boco should retire forcefully
Kona pacha67' Simba wanapata kona