Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Boko kakosa bao la wazi kabisaMakelele tena toka banda umiza, kunani?
Tatizo huwa unajificha, siku hizo nitakufunga kamba utulie ucheki boli..Una uhakika mkicheza naye home and away, mtachomoa?
hadi kadi ama penati ndo ushindi kwaoTunasemaga simba hawana wachezaji
Feitoto bado ni mchezaji wetu, amesamehewafeitoto yupi huyu ambae amesha sahaulika kabisa
sa hivi tunamtambua kiungo bamia na mudathiri
ana hat trick lakiniBocco hovyo kabisa