FT :Jku 2 Simba 0 , papaa Nd'aw ashindwa kuonyesha makali yake

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mechi imechezwa jioni hii uwanja wa amani na simba imekubali kipigo cha kwanza katika mechi za maandalizi ya msimu mpya
 
sembo njoo utupe tathmini ya hiki kipigo na vijana wa Zenj
 
Last edited by a moderator:
Makoye Matale kwenye uzi mmoja alimnukuu sembo kwa kumjibu akisema droo na mwadui ilikuwa rasharasha naona gharika ndo limeanza hivyo....pole sana mikia fc



ukistaajabu ya RAGE utayaona ya mambumbumbu
 
Wana simba tunataka kombe mwaka huu, tusipolipata ndani ya simba tutalitafuta nje ya simba
 
Makoye Matale kwenye uzi mmoja alimnukuu sembo kwa kumjibu akisema droo na mwadui ilikuwa rasharasha naona gharika ndo limeanza hivyo....pole sana mikia fc



ukistaajabu ya RAGE utayaona ya mambumbumbu

Nani kakuambia kuna gharika. Kwa taarifa yako ligi ikianza mtaona moto wetu
 
Kipigo ni sawa kwenye maandalizi kinakupa fursa ya kuona ma gap kuliko kushinda unabweteka
 
sayansi ya mpira ukifanya mazoezi ya stamina sana unakosa skills na ndicho kinachowatokea simba kwa sasa wakipata stamina ya kutosha waka combine na skills watakua moto namaanisha huwezi kwenda peponi kabla ya kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…